Breaking News

Zahera Alia Na Viongozi TFF


Baada ya mchezo wa Coastal Union kumalizika kwa Yanga kukubali sare ya Goal ( 1-1 )

Kocha Mwinyi Zahera amezungumza na waandishi wa Habar huku Zahera akiwatupia maneno viongozi wa shirikisho la soka Tanzania ( TFT )

Zahera amesema kuwa shikisho la soka Tanzania TFT ratiba yao waliyopanga tangu mwanzo wa Ligi walidhamilia kuitesa Yanga Yanga Sc katika mechi za mwanzo ilicheza mechi zaidi ya 10 katika uwanja wa nyumbani hivyo ratiba hiyo inawafanya Yanga kuteseka sana katika mechi za raundi ya pili kwakuwa watacheza mechi nyingi ugenini

Zahera amesema pia hajawahi kuona Ligi yeyote Duniani timu ikicheza zaidi ya mechi 10 nyumbani mfululizo

Zahera amesema anaamini kuwa TFF walidhamilia kuitesa Yanga katika raundi ya pili    Amesema Zahera.

No comments