Breaking News

Clouds Media wapata ajali wakitokea msibani kwa Ruge.


Sehemu ya Timu ya Production ya Clouds Media ikiwa na Watu 6 ikitokea katika Msiba wa Ruge Mutahaba Kagera imepata ajali ya gari Dodoma ambapo limepinduka mara tatu.



Hakuna aliepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo ambapo kwa sasa wanaendelea na matibabu Dodoma.





Tunasikitika kuwataarifu kuwa sehemu ya timu yetu ya production (Watu 6) iliyokuwa ikitokea msibani Bukoba kurejea jijini Dar es Salaam imepata ajali ya gari maeneo ya nje kidogo ya Dodoma. Tunamshukuru Mungu hakuna aliyepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo.

No comments