Breaking News

NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE YAANGUKA IKIWA SAFARINI KULEKEA NAIROBI




Serikali ya Ethiopia imetoa taarifa ya vifo vya abiria 157 ambao walikuwa wamepanda ndege aina ya Boeing 737 ya Shirika la Ndege la Ethiopia iliyokuwa ikisafiri kutoka Ethiopia kuelekea Nairobi, Kenya baada ya ndege hiyo kupata hitilafu na kuanguka. Ni moja kati ya ndege mpya zilizonunuliwa na shirika hilo miezi minne iliyopita.


Pata habari motomoto na za uhakika kila siku kila zinapojiri katika nyanja mbalimbali ikiwemo Siasa, Michezo, Ajira, uchumi, Mapenzi, Udaku/Umbea n.k .Kwa kudownload APP hii Bofya HAPA Kudownload.

BOFYA HAPA

No comments