Post ya Haji Manara baada ya kichapo kutoka kwa Saoura
Jana kikosi cha Simba kilimaliza mchezo wake dhidi ya Js Saoura ugenini kwa kufungwa bao 2 kwa 0.
Kufungwa kwa Simba kuliwafanya kutoka nafasi ya pili mpaka ya nne kwenye kundi huku ikisubiri hatma ya kufuzu katika mchezo wa mwisho dhidi ya Js Saoura.
Baada ya mechi hiyo huu ndiyo ujumbe aliouandika Afisa habari wa Simba Haji Manara.
Ni Do or Die Match
Ni zaidi ya Kufa au kupona Kwenye mchezo wetu wa mwisho dhidi ya AS Vita utakaochezwa Taifa Jumamosi ijayo!!
Bila kujali matokeo yatakayotokea Egypt baina ya Al Ahly na Soura ambao nao wanacheza siku hyo ya tarehe 16,ushindi wowote tutakaoupata dhidi ya Wacongo hao tutafuzu ktk Robo fainali!!
Hyo sio Yes We Can,hyo ni Do or Die kama ilivyokuwa na Nkana
Insha’Allah itakuwa

Pata habari motomoto na za uhakika kila siku kila zinapojiri katika nyanja mbalimbali ikiwemo Siasa, Michezo, Ajira, uchumi, Mapenzi, Udaku/Umbea n.k .Kwa kudownload APP hii Bofya HAPA Kudownload.
BOFYA HAPA
No comments