Taarifa Ya Mganga Mkuu wa Mwanza, Kifo Cha Ephraim Kibonde


MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Thomas Rutachunzibwa leo Machi 7, 2019 ametoa taarifa juu ya kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Clouds Media, Ephraim Kibonde, kilichotokea alfajiri ya leo, Alhamisi, Machi 7, 2019.
No comments