Barcelona Yaiadhibu Valencia Na Kutinga Robo Fainali Ya Copa Del Rey
Barcelona wameitungua Levante 3-0 katika mechi ya pili ya 16 bora na kutinga hatua ya robo fainali ya kombe
la Copa Del Rey kwa jumla ya ushindi wa 4-2 baada ya mechi ya kwanza wiki iliyopita kufungwa 2-1 ugenini.
Ousmane Dembele kambani mara mbili na King Lionel Messi kambani moja.
Barcelona sasa anaungana na vilabu vya :
Valencia
Getafe
Sevilla
Betis
Espanyol
Girona
Real Madrid
Katika hatua ya robo fainali , na droo ya robo fainali itafanyika leo Ijumaa.
No comments