Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA imemfungia maisha aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura. Uamuzi huo wa FIFA umetolewa jana Januari 22 ikikazia hukumu iliyotolewa Aprili 6, 2018 na Kamati ya Rufani ya Maadili ya TFF.
No comments