Breaking News

Kikosi Cha Simba Dhidi Ya As Vita Club


Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara leo kitakuwa dimbani kuendelea kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika.


Simba utakuwa mgeni wa AS Vita Club katika mchezo uatakaopigwaleojioni mjini kinshasa.

No comments