Breaking News

Matokeo Na Msimamo Wa Ligi Kuu England, Man United nusura ikutane na kipigo cha kwanza chini ya Ole Gunnar Solskjaer


Ligi kuu ya soka nchini Uingereza imeendelea usiku wa kuamkia leo Jumatano ya januari 30 kwa michezo kadhaa ya raundi ya 24.

Katika michezo timu kutoka katika Jiji la Manchester zimetaabika baada ya Manchester City kukubari kipigo huku mahasimu wao Manchester United wakinusurika kupokea kipigo cha kwanza wakiwa chini ya kocha wao mpya Ole Gunnar Solskjaer.

Haya hapa matokeo yote.
Na huu ndio msimamo wa ligi hiyo baada ya kumalizika kwa mechi za jana.

No comments