Breaking News

Straika Mpya Simba Aanza Mazoezi Rasmi.



Mshambuliaji mpya wa Simba Sadney Urikhob kutoka Namibia ameanza mazoezi na kikosi cha kocha Patrick Aussems tayari kwaajili ya majaribio na usajili kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo.

Simba ina nafasi ya kuongeza wachezaji katika hatua hii ya makundi ambayo inashiriki katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.


No comments