Breaking News

Taarifa Ya Kusikitisha Kutoka Yanga Kuhusu Msiba Alioupata Kindoki..




Taarifa zilizotufikia kutoka Yanga zinaeleza kuwa mlinda mlango wa klabu hiyo, Klaus Kindoki amepata msiba kwa kuondokewa na Baba yake mzazi. 

Aidha kwa mujibu wa taarifa hiyo inaelezwa kuwa msiba na mazishi utafanyika kwao Congo DRC siku ya jumapili.


 
Uongozi wa Yanga unatoa pole kwa mchezaji Klaus Kindoki pamoja na familia yake kwa kumpoteza Baba yake. Msiba upo kwao Congo DRC na mazishi yatafanyika siku ya Jumapili uko uko kwao Congo.

No comments