Breaking News

Unalikumbuka Kundi La TMK Wanaume Family? Sasa Kurejea Tena .


Hayo yamebainishwa na mmoja wa wakongwe wa mziki hapa nchini "Chege"

Akiwa LIVE kwenye kipindi cha FrankFriday kinachurushwa na Cloudplus Chege amesema analimisi kundi lao na yeye na Temba wanawaza kulisuka upya...


"Kiukweli nalimisi kundi letu la Tmk Wanaume Family, ingawa mimi na Temba huwa tunafanya kazi kama solo artist lakini Bado tuna wazo la kurudisha TMK wanaume Family kama zamani" Chege Chigunda

No comments