Breaking News

MATOKEO: Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea lei kwa viwanja kadhaa kushuhudiwa vikipata kashikashi.


Ruvu Shooting 0-0 Tanzania Prisons.
.
.

JKT Tanzania 1-0 Mbao FC (Peter Mwangosi OG 4’).
.
.

Coastal Union 2-0 African Lyon (Andrew Simchimba 49’, Issa Abushehe 90’+1).
.
.

Alliance FC 2-1 Mbeya City (Dickson Ambundo 33’, 55’ : Iddy Selemani 81’)
.
.

Kagera Sugar 2-1 Biashara United (Kassim Hamis 17’, Omary Mponda 70’p : George Makang'a 15’) .

No comments