Manny Pacquiao Amempiga Bondia Adrien Broner Kwa Pointi
-Bondia Manny Pacquiao amempiga bondia Adrien Broner kwa pointi pambano ambalo lilifanyika Las Vegas Marekani na kuendelea kuutetea ubingwa wake wa dunia katika uzito wa Welterweight. Pacquiao alishinda baada ya majaji wote watatu kumpa ushindi kwa pointi 117-111, 116-112, 116-112 na ameomba kurudiana na Floyd Mayweather ambaye amestaafu.

No comments