Matokeo Na Msimamo Wa Ligi Kuu Bara leo.
Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa michezo mbalimbali iliyopigwa kwenye viwanja tofauti.
Yafuatayo ndio matokeo ya mechi hizo:
FT' JkT Tanzania 3 -0 Mwadui FC
FT' Kagera Sugar 0-2 Tanzania Prison
FT' Ruvu Shooting 1 -0 Mbeya City
FT' Stand Utd 0-0 KMC
MSIMAMO:
Baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa leo, Tanzania Prisons imeondoka mkiani huku Ruvu Shooting na JKT Tanzania pia wakisogea.
No comments