Breaking News

+PICHA: Rais Magufuli Azindua Mahakama Inayotembea(Mobile court) Na Mfumo Wa Kielektoniki Wa Kuendeshea Kesi




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli amezindua Mahakama Inayotembea(Mobile court) na Mfumo wa Kielektoniki wa kuendeshea kesi katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini Iliyofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.Februari 6,2019








No comments