Breaking News

Samatta Mambo Ni Moto Ulaya


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata amefanikiwa kufunga magoli 2 yaliyoipa ushindi timu yake ya KRC Genk wa goli 2-0 dhidi ya Standard Liege na kufikisha magoli 19 mpaka sasa katika ligi kuu ya Ubelgiji.

Baada ya ushindi huo, timu ya Genk wamefikisha alama 57 katika michezo 25 waliyocheza mpaka sasa ikiwa ni tofauti ya alama 12 kati yake dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili ambayo ni Club brugge waliocheza michezo 24 mpaka sasa.

FT:KRC Genk 2-0 Standard Liege
( Mbwana Samatta 68',87')

No comments