Tamko La Mkutano Wa 20 Wa Kawaida Wa Wakuu Wa Nchi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha jana Ijumaa Februari 1, 2019.
Tamko la Mkutano wa 20 wa k... by on Scribd
No comments