Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amelikemea tukio linaloonekana katika video ambalo linamuonesha mchezaji wa Alliance akimuwekea kidole makalioni Gadiel Michael wa Yanga.
HAJI MANARA AKEMEA TUKIO LA BEKI YANGA KUSHIKWA MAKALIONI NA MCHEZAJI ALLIANCE
Reviewed by Alexander Victor
on
March 03, 2019
Rating: 5
No comments