Baada Ya Simba Kufungwa Goli 5-0 Manara Akumbushia Matokeo Ya Simba Na Yanga...
Haji Manara ameandika Meneno haya katika ukurasa wake wa Instagram;
"Very bad but huo ndio mpira ,Tumefungwa wote kama vile tunavyoshinda wote!!
Goal -2, na tuna mechi mbili away na mbili home,
Tusikate tamaa!! We lost a battle not a war"
"Nani aliokwambia Simba ndio wa kwanza kufungwa Tano?hebu Gongowazi njooni hapa,lini tuliwafunga tano mara ya mwisho, au mwajitoa fahamu?
Na vp kale kananiu nasikia Stand wamekinaniliu? Au bado kipo? " Haji Manara

No comments