Breaking News

Yanga Waandamwa Na Jinamizi La Misiba, Baba Mzazi Wa Mshambuliaji Huyu Afariki Dunia.


Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa amepata pigo la kuondokewa na baba yake mdogo ambaye amefariki jana Jumamosi huku chanzo cha kifo hicho kikiwa hakijaelezwa.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Ngasa ameandika ujumbe unaosema “Pumzika kwa amani baba yangu mcheshi wangu mtani wangu leo hii umetutoka baba R.I.P”

Wakati Ngassa akipata pigo hilo, mlimda mlango wa timu hiyo Klaus Kindoki naye Baba yake Mzee Kindoki Nkinzi alifariki na jana alianza kuitumikia timu yake hiyo, atakwenda msibani baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Stand United

No comments