Breaking News

Simba Watandikwa Goli 5-0 Na AS Vita Club.

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wapo nyuma kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya AS Vita katika mchezo wa pili wa Hatua ya Makundi Afrika uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Martrys.

AS Vita walianza kuandika bao dakika ya 14 kupitia kwa Jean Makusu na dakika ya 19 kupitia kwa Butoli Bombunga na bao la tatu likifungwa kwa mkwaju wa penalti na Fabrice Ngoma dakika ya 45 baada ya beki wa Simba Pascal Wawa kumchezea rafu mshambuliaji wa AS Vita.

Makweke Kupa alifunga bao la nne dakika ya 71 kwa kichwa baada ya kupata kona, dakika ya 74 Makusu anaandika bao la tano.

No comments