Breaking News

Beno Kurejea Yanga, Kiongozi Mmoja Anena.

Taarifa za awali kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Yanga Sc zinadai kuwa huenda mlinda mlango wa klabu hiyo Beno Kakolanya akarejea muda wowote kuanzia sasa.


Mmoja wa viongozi wa klabu hiyo ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi amesema "Hatua tuliyoifikia ni nzuri kwa maana ya mazungumzo ya pande zote mbili (kocha na mchezaji) panapo majaaliwa Beno atarudi muda wowote kuendelea kuitumikia klabu yetu kama kawaida" alisema kiongozi huyo

No comments