Deal Done: Simba Wathibitisha Kichuya Kutimukia Kwa Farao
.
Klabu ya Simba imethibitisha kwamba Winga wake machachali, Shiza Ramadhani Kichuya amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Enppi ya Nchini Misiri.
"Uhamisho wa Shiza Kichuya umekamilika na kuanzia kesho ataanza mazoezi na timu yake mpya ya Enppi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Misri dhidi ya Al Ahly utakaochezwa siku ya Jumanne Februari 5, 2019. Tunamtakia mafanikio mema katika timu yake mpya."
Kichuya ambaye anamudu vyema nafasi za Winga wa kushoto pamoja na kiungo mshambuliaji atakumbukwa saana katika ligi kuu ya Tanzania kwa umahili wake ambao ulizidi zaidi pindi alipokuwa akikutana na Yanga...

No comments