Breaking News

Zahera Amchana Makambo Kisa Hiki Hapa



Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema kwamba mchezaji wake Heritier Makambo kwa sasa amepoteza kiwango chake ambacho amekuwa nacho hapo awali.

Zahera amesema kwamba tangu aliporejea akitokea  DR Congo kiwango chake kimeshuka katika mechi ambazo amecheza.

Amesema kwamba Makambo anaemfahamu yeye akiwa kwenye ubora wake anaamini mchezo wao wa Leo dhidi ya Biashara usingefika kwenye changamoto ya mikwaju ya penati.

No comments