-Klabu ya Gor Mahia ya Kenya imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika (Caf Confederation Cup) baada ya kuitoa New Star ya Cameroon kwa jumla ya magoli mawili kwa moja (2-1)
FT: New Star 0-0 Gor Mahia Agg (1-2)
Gor Mahia Yatinga Makundi Ya Kombe La Shirikisho Afrika
Reviewed by Alexander Victor
on
January 20, 2019
Rating: 5
No comments