Breaking News

Rais Magufuli Ampongeza Felix Tshisekedi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amempongeza Bwana Felix Tshisekedi kwa kuthibitishwa na Mahakama kuwa ndie mshindi wa uchaguzi wa Urais nchini DRC kutokana na Uchaguzi uliofanyika Desemba 30, 2018.

No comments