Kamati ya Bunge Yaishauri Serikali Imalizie Mazungumzo ya Shilingi Bil .345 za Utalii Kusini
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape Nnauye ( wa tatu kushoto) akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamis Kigwangalla pamoja na wajumbe wa kamati hiyo wakipewa maelezo na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Godwell Meing'ataki kuhusiana na bwawa lenye viboko wengi katika Hifadhi hiyo liitwalo Mwanambogo wakati wajumbe ya Kamati hiyo walipofanya ziara ya kutembelea kwa ajili ya kujionea mradi wa kukuza utalii kusini wa Regrow ulipofikia na namna unavyotekelezwa.
Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Constantine Kanyasu.
No comments