Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa jana tena atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara mbalimbali mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji mkuu wa serikali imeelezwa kuwa ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi na kutoa maelekezo kadhaa.
No comments