Uturuki waonesha nia ya kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa ya nchini Uturuki Prof. Serdar Ener atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozitoa, miundombinu na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi pamoja
Uturuki waonesha nia ya kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa watanzania
No comments