Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana
: Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu/cholesterol) & vitamin B6 ambavyo hukupa nguvu & nyege.
Utumiaji wa bidhaa zinazotokana na maziwa huupa mwili vitamini muhimu kwa uzazi kama Vitamini D inasaidia uzalishaji wa mayai ya kike.
Karanga na jamii zinazofanana nazo ni vyakula vinavyoongeza ubora wa mbegu za kiume & mayai ya kike. Vyakula hivi husaidia pia wenzi kuwa na ngono bora.
Urukususu/susi (Licorice) ni dawa ya kutibu kikohozi ambayo hutokana na mitishamba. Dawa hii huiga utendaji wa homoni za estrojeni na projesteroni ambazo huhusika na uzazi. Hivyo matumizi ya dawa hizi huongeza furaha na nyege.
Itaendelea........

No comments