Breaking News

Yanga yaiendalea kuwawinda Stand United

klabu ya Yanga Sc imefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo  wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Stand United utakaofanyika katika  uwanja wa Kambarage  mkoani Shinyanga
.
.
.
Mchezo huo wa ligi kuu Tanzania bara utafanyika kesho majira ya saa 10 jioni  katika dimba la Kambarage  mjini Shinyanga
. . .
kuelekea  mchezo huo  hakuna mchezaji yeyote mwenye majeraha kwa wachezaji waliopo  Shinyanga kwa mujibu wa Daktari wa timu ya Yanga Sc.

No comments