Zito Kabwe Amtumia Barua Spika wa Bungemm.
Mbungea wa Kigoma Ujiji, Mh Zito Zubeiry Kabwe amemuandikia barua Spika wa Bunge la Tanzania kulalamika kuhusu kutishiwa na mtu anayetajwa kuwa Afisa Usalama wa Taifa ndani ya Viwanja vya Bunge, ukumbi wa Msekwa.
Kwa mijibu wa Zito kupitia ukurasa wake wa twitter aneandika "Barua yangu kwa Spika wa Bunge kulalamika kuhusu kutishiwa na anayejiita Afisa Usalama wa Taifa ndani ya Viwanja vya Bunge, ukumbi wa Msekwa. Nimeiwasilisha leo ili hatua zichukuliwe ".
Hii hapa barua yenyewe...
No comments